Feature 1
Add more detail about this feature, such as benefits, appearance, components and value

+1 888 123 4567
-
EASTERN AFRICA GENERAL GROUP OF COMPANY ni kampuni inayohusika na uuzaji wa mafuta pamoja na usafirishaji wa mizigo tofauti yenye asili ya vimiminika (fluids) na mali yabisi (dry cargo),Biashara mbalimbali na consultants.
Kwa sasa EASTERN AFRICA GENERAL GROUP OF COMPANY inahitaji wafanyakazi wenye WELEDI, UZOEFU na UADILIFU wa hali ya juu usiotiliwa shaka na mtu au taasisi yoyote ndani na nje ya nchi pamoja na sifa zifuatazo;-
Awe raia wa Tanzania
Awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 45
Awe mwaminifu, mchapa kazi na mwenye kujituma bila ya kusukumwa
Awe na lugha nzuri na kushirikiana na watu vizuri
Awe na afya iliyo bora
Awe mbunifu na mchapakazi
Awe na uwezo wa kushirikiana na watu vizuri
Muombaji anatakiwa asiwe amewahi kufungwa au kushtakiwa kwa kosa lolote la jinai mahakamani
Waombaji wote wa nafasi za kazi zifuatazo wanatakiwa kuwa na vigezo vya kazi husika wakizingatia vigezo vikuu vitatu vilivyotajwa hapo juu pamoja na sifa zake;-
Sifa na Majukumu
Kuza mafuta katika kituo cha kuuzia mafuta
Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea
Nafasi chache kwa darasa la saba
Location:
Dodoma
Mwanza
Tanga
Mbeya
Dar es salam
Arusha
Mtwara
Zanzibar
Sifa na Majukumu
Kusimamia shughuli za mauzo ya pumb
Kusimamia mauzo ya super market
Elimu ya kuanzia kidato cha nne
Kijana wakike na kiume
Sifa na majukumu
Jinsia zote, umri kuanzia miaka 18 hadi 45
Awe na elimu kuanzia kidato cha nne
Mwenye certificate ya Marketing atapewa kupaumbele
Awe na uwezo wa kutumia smart phones/tablets
Majukumu
Kusambaza vipeperushi vya kampuni
Kuitangaza kampuni kwa wateja
Kuchukua data za wateja pamoja na mawasiliano
Kupiga picha na kusave eneo alilotembelea
Sifa na majukumu
Usafi wa ofisini
Usafi wa maeneo ya kazi
Uzoefu usiopungua mwaka mmoja wa kazi ya usafi
Mbunifu na mchapakazi
Jinsia zote
Sifa na majukumu
Kupika chakula cha wafanyakazi
Uzoefu usiopungua mwaka mmoja
Mbunifu na mchapakazi
Wa kike na kiume
Job Details:
Ideal candidate will manage all financial transactions and will be responsible for auditing financial documents and procedures, reconciling bank statements and calculating tax payments and returns. Ultimately, candidate will provide accurate quantitative information on financial position, cash flows etc while ensuring tax compliance.
Role:
Manage all accounting transactions
Prepare budget forecasts
Handle monthly, quarterly and annual closings
Reconcile accounts payable and receivable
Ensure timely bank payments
Compute taxes and prepare tax returns
Manage balance sheets and profit/loss statements
Report on the company’s financial health and liquidity
Reinforce financial data confidentiality and conduct database backups when necessary
Comply with financial policies and regulations
Requirements:
Degree in Accounting or Finance
Knowledge of computer skills
Knowledge of manual accounting
Ability to drive will be an added advantage
Sifa na Majukumu
Kuendesha magari makubwa ya mizigo
Kuendesha magari madogo ya mizigo
Kuendesha gari ya kutoa huduma kwa umma
Uwe na leseni kati ya class C au D au E
Sifa na Majukumu
Msaidizi wa dereva
Elimu kuanzia darasa la saba na kuendelea
Mchapakazi na mwaminifu
Sifa na majukumu
Kufanya kazi kwenye gereji za kampuni
Kusafiri na magari
Awe amepata mafunzo ya ufundi kwenye vyuo vinavyotambulika
Sifa na Majukumu
Kutunza stoo na vifaa
Kusimamia na kuratibu kazi za store
Kutunza taarifa za vifaa vinavyoingia na kutoka store
Elimu kuanzia kidato cha nne
Nafasi chache kwa darasa la saba
Sifa na majukumu
Urefu wa futi 6 na kuendelea
Elimu kuanzia darasa la saba na kuendelea
Waliopitia mafunzo ya ulinzi, JKT au mgambo wana nafasi zaidi
Mchapakazi
Wa kike na kiume
Sifa na Majukumu
Awe mtaalamu wa biashara
Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea
Wenye certificate in business watapewa kipaumbele zaidi
Jinsia zote ila wanawake watapewa kipaumbele.
Sifa za muombaji
Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea
Jinsia zote, wanawake watapewa kipaumbele
Wenye certificate in secretarial courses watapewa kipaumbele zaidi
Wenye certificate ya Computer applications, Ms word, Excel, Publisher and PowerPoint
Sifa za muombaji kuanzia miaka 18 hadi 45
Location:
Dodoma
Dar es Salaam
Location:
Dodoma
Mwanza
Tanga
Mbeya
Dar es salam
Arusha
Mtwara
Zanzibar
Duties and Responsibilities:
Oversee and manage all aspects of the business such as Accounting, HR, Sales and Operations
Developing and implementing sales plans and targets, ensuring they are met accordingly.
Drive sales team to meet individual targets for both liability & risk asset.
Segment the region for sales team to ensure better market penetration.
Evaluate sales strategies for performance against objectives, and making necessary changes as required.
Identify, develop, and implement processes towards improving customer satisfaction, sales efficiency, etc.
Ensure and maintain business relationships, resolving customer problems as needed.
Ensure the sales teams have adequate skills and information to carry out their duties.
Assist in evaluating employee performance and providing feedback and coaching as needed.
Observing and recognizing employee achievements and encouraging excellence in the work environment
Providing necessary sales and operations reports to the head office when due.
Ensuring compliance with all applicable laws/regulations for the industry within state and country of branch location
Managing budgets, allocating branch funds, operations, and logistics and defining financial objectives.
Qualification and Experience:
Diploma or Bachelor’s Degree
Diploma or Bachelor’s Degree
Responsibilities:
Coordinates inputs with regards to supply chain management and service delivery from various sections within LD for the Director, LD, the DOS senior management, missions or member stated representatives through preparing briefing notes, talking points, reports, drafting note verbales, etc.
Prepares logistics and support plans, deployment timelines and budget requirements for planned or new peacekeeping missions.
Develops logistical plans for existing missions.
Develops contingency plans for drawdown and liquidation of missions.
Develops and implements methodologies and tools to enable effective execution of logistic plans.
Formulates mission specific Standard Operating Procedures.
Manages logistics operations including management of logistics assets, materiel, contracts and personnel.
Ensures timely, accountable and cost-effective delivery of peacekeeping cargoes and personnel.
Coordinates and provides logistics support to ongoing air, land, sea, or rail operations in a field mission.
Ensures that logistics requirements take account of gender-specific needs.
Coordinates logistics activities with procurement, finance, human resources, policy and other substantive units.
Follows up on legal and financial aspects of the mission.
Develops and implements DOS logistics support policy, procedures and methodologies to the common benefit of all functional units.
Prepares reports on operational logistics issues.
Identifies plans and manages special logistics operations.
Ensures that accurate and complete accounting, reporting and internal control systems are functioning and that all relevant records are maintained.
Prepares contingency plans and logistics preparedness reviews.
Performs other related duties as required.
Qualification and Experience:
Diploma or Bachelor’s Degree
Progressively responsible experience in logistics, supply chain management operations or related area is required.
Experience working in commercial logistics is desirable.
Experience with coordinating inputs and preparing written communications regarding supply chain management is desirable.
Wage/Salary Info:
Kiwango cha chini cha mshahara kwa mwezi ni Tsh.400,000 na
Kiwango cha juu cha mshahara kwa mwezi ni Tsh.1,500,000
How to Apply?
Kutokana na athari za
Covid-19
hivyo kwa sasa maombi
yote yatatumwa
online
kwa njia ya mtandao kwa kujaza fomu maalumu ya maombi ya kazi.
Bonyeza 👉 >>> HAPA<<< 👈 kujaza fomu ya maombi
Zingatia – Muhimu:
Watakaochaguliwa watapigiwa simu na ofisi kwa mchakato zaidi
Epuka kutapeliwa fedha au kitu chochote cha thamani kwa ahadi ya kupata upendeleo wa ajira ndani ya EASTERN AFRICA GENERAL GROUP OF COMPANY zaidi ya gharama ya fomu!
Application Closing Date:
29th July 2021
Employer Name:
EASTERN AFRICA GENERAL GROUP OF COMPANY.
Contact Name:HR Manager
Contact Phone:☎️+255 (306) 521611
Contact Email:
✉️careers@easternafricageneral.com
Employer Location:
EASTERN AFRICA GENERAL GROUP OF COMPANY
Head Quarters
P.O.Box 1909
Simiyu road
Sofia Building
Kisarawe,Pwani.
Tanzania.


Kisarawe, Pwani, Tanzania.
+1 888 123 4567
Sun: Closed, Mon-Fri: 8 am-6 pm, Sat: 10 am-4 pm